Glodesinda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Glodesinda (pia: Glodesind, Chlodsendis, Clodeswide, Closind, Closseinde, Clothsend, Clotsend, Glossine; 578 hivi - 608 hivi) alikuwa abesi wa monasteri aliyoianzisha huko Metz, leo nchini Ufaransa, baada ya kukataa ndoa na kulelewa kitawa na dada wa mzazi wake, Rotilda [1].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu bikira.

Sikukuu yake ni tarehe 25 Julai[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/64240
  2. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.