Bavo
Mandhari
Bavo wa Gent (pia: Baaf, Bavon, Allowin, Bavonius; Hesbaye, Brabant, 622 hivi - Gent, leo nchini Ubelgiji, 1 Oktoba 659 hivi) alikuwa mmonaki, kaka wa Bega na Getrude wa Nivelles[1].
Kabla ya kuongokea maisha maadilifu kwa mahubiri wa Amando wa Maastricht aliwahi kuwa askari na baba wa binti mmoja. Alipofiwa mke wake aliuza mali zake zote kwa ajili ya fukara na kumfuata Amando katika monasteri aliyoanzisha na katika umisionari wake[2].
Miaka mitatu ya mwisho aliishi kama mkaapweke kwanza katika pango lililopatikana ndani ya mti mkubwa, halafu msituni [3].
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 1 Oktoba[4].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Attwater, Donald and Catherine Rachel John. The Penguin Dictionary of Saints. 3rd edition. New York: Penguin Books, 1993. ISBN 0-14-051312-4
- Acta Sanctorum October, vol. 1.
- Léon Van der Essen, Étude critique et littéraire sur les vitae des saints mérovingiens de l'ancienne Belgique, 1907, p. 349-357.
- Édouard de Moreau, Saint Amand, apôtre de la Belgique et du Nord de la France, Louvain, 1927.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- Latin Saints of the Orthodox Patriarchate of Rome
- Acta S. Bavonis alias Alloini confessoris, Gandavensium patroni
- St. Bavo at the Christian Iconography web site.
- Vita Bavonis Confessoris Gandavensis Ilihifadhiwa 28 Machi 2019 kwenye Wayback Machine. (Life of Bavo, Confessor of Ghent, in Latin) in Monumenta Germaniae Historica
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |