Bega

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Mchoro wa bega la binadamu

Bega wa binadamu ni sehemu ya mwili ambako mkono unaunganishwa na kiwiliwili. Ina mfupa wa kilimbili, mfupa wa bega na mtulinga (Kilatini: humerus, scapula na clavicula).


Sehemu za Mkono wa binadamu

Bega * Mkono wa juu * Kisugudi * Kigasha * Kiganja * Kidole gumba * Kidole cha shahada * Kidole cha kati * Kidole cha pete * Kidole cha mwisho


Gray188.png Makala hii kuhusu mambo ya anatomia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bega kama matumizi yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.