Mtulinga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mtulinga.
Mtulinga wa kulia.

Mtulinga (kwa Kiingereza "clavicle") ni mfupa ambao unapatikana kwenye bega katika mwili wa binadamu na wanyama mbalimbali.

Makala hii kuhusu mambo ya anatomia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mtulinga kama matumizi yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.