Roza Fan Hui
Jump to navigation
Jump to search
Roza Fan Hui (Fan, 1855 hivi - Fan, 8 Agosti 1900) alikuwa mwanamke wa China aliyefia Ukristo wakati wa Uasi wa Waboksa.
Papa Yohane Paulo II alimtangaza mtakatifu pamoja na wengine 119 tarehe 1 Oktoba 2000.
Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 9 Julai.
Tazama pia[hariri | hariri chanzo]
- Wafiadini wa China
- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
![]() |
Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Roza Fan Hui kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |