Emiliani wa Valence

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Emiliani wa Valence (alifariki Valence, leo nchini Ufaransa, mwishoni mwa karne ya 4) alikuwa askofu wa mji huo[1] .

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu[2] .

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 13 Septemba[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/70140
  2. Duchesne, Fastes épiscopaux…, vol. I, pp. 216-217.
  3. Martyrologium Romanum

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.