Paulo Lang Fu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Paulo Lang Fu (Lu, 1893 hivi - Lujiapo, 16 Julai 1900) alikuwa mtoto wa China aliyefia Ukristo wakati wa Uasi wa Mabondia pamoja na mama yake Lang Yangzhi.

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mtakatifu pamoja na wengine 119 tarehe 1 Oktoba 2000.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 9 Julai lakini ya kwake mwenyewe ni tarehe ya kifodini chake[1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.