Kansyo na wenzake

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Kifodini chao.

Kansyo na wenzake Kansyano na Kansyanila (walifariki Aquileia, leo nchini Italia, 304) walikuwa ndugu Wakristo ambao waliuawa kutokana na imani yao wakati wa dhuluma ya kaisari Dioklesyano wa Dola la Roma[1][2].

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao ni tarehe 31 Mei[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Christian cross.svg Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.