Miro wa Kuziko

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Miro wa Kuziko (alifariki Kuziko, leo nchini Uturuki, 250 hivi) alikuwa padri aliyeteswa kikatili na hatimaye akakatwa kichwa katika dhuluma ya kaisari Decius kwa sababu ya imani yake[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 17 Agosti[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.