Theopista

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu ya mtakatifu Theopista katika ukuta wa mbele wa kanisa kuu la Matera.

Theopista (yaani "anayemwamini Mungu", kutoka maneno ya Kigiriki théos e pístos) ni mwanamke wa karne ya 2 aliyepata kuwa Mkristo na hatimaye mfiadini pamoja na familia yake.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.