Nenda kwa yaliyomo

Wiliamu wa Dijon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu yake katika mimbari ya Orta Isola San Giulio (karne ya 12).

Wiliamu wa Dijon (pia: wa Volpiano au wa Fecamp; Volpiano, Piemonte, Italia Kaskazini, Juni/Julai 962 - 1 Januari 1031) alikuwa Mbenedikto[1] aliyepigania urekebisho wa utawa akawa abati mwanzilishi wa monasteri arubaini katika Italia na Ufaransa wa leo, ambaye katika miaka ya mwisho wa maisha yake aliongoza kwa uimara na busara wamonaki wenzake wengi sana waliotawanyika katika monasteri hizo. [2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 1 Januari[3].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  • William of Volpiano. "Montpellier, Bibliothèque interuniversitaire de Médecine, Ms. H159, pp.7-322". Tonary-Gradual & Antiphonary of the Abbey St. Bénigne in Dijon (about 1000). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-02-25. Iliwekwa mnamo 2022-05-12.
  • Raoul Glaber. "Paris, Bibliothèque nationale de France, fonds lat., ms. 5390, ff.222r-230r". Vita Domni VVillelmi Abbatis primi Fiscannensis [Life of Sir William the first Abbot of Fécamp] (11th century).
  • Huglo, Michel (2001). "Guillaume de Dijon". Grove Music Online. Oxford, England: Oxford University Press. doi:10.1093/gmo/9781561592630.article.11982
     . https://www.oxfordmusiconline.com/grovemusic/view/10.1093/gmo/9781561592630.001.0001/omo-9781561592630-e-0000011982.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.