Eustaki wa Roma

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Eustaki alivyochorwa na Albrecht Durer.

Eustaki wa Roma (alifariki Roma, Italia, karne ya 2 hivi) alikuwa Mkristo aliyeuawa kutokana na imani yake katika Yesu[1].

Anaheshimiwa na madhehebu mbalimbali ya Ukristo kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimshwa tarehe 20 Septemba[2] au 1 Oktoba.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.