Mancho wa Evora

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Mancho alivyochorwa katika karne ya 16 huko Ureno.

Mancho wa Evora (alifariki Evora, katika Ureno ya leo, katika karne ya 6) alikuwa mfiadini wa Kikristo ambaye inasemekana aliuawa na Wayahudi.[1]

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 21 Mei[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.