Nenda kwa yaliyomo

Danilo II

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Danilo II katika mchoro wa ukutani, Monasteri ya Peć.

Danilo II (kwa Kiserbia: Данило II) alikuwa askofu mkuu wa Waserbia miaka 1324-1337.

Akiwa kwanza mmonaki, aliandika kumbukumbu za watu na matukio mbalimbali ambazo ni kati ya maandishi muhimu ya Kiserbia.

Anaheshimiwa na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  • Episkop šumadijski Sava (2001) [1996]. "Sveti Danilo II arhiepiskop srpski". Srpski jerarsi od IX do XX veka (kwa Kiserbia). Projekat Rastko. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-04-02. Iliwekwa mnamo 2017-12-03.
  • Лопандић, Душко (2009). "Архиепископ српски Данило II" (kwa Kiserbia). Politikin zabavnik. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-06-04. {{cite web}}: Unknown parameter |deadurl= ignored (|url-status= suggested) (help)
  • Justin Sp Popović (1976). Žitija svetih (kwa Kiserbia). Izdanje Manastire sv. Ćelije kod Valjeva.

Marejeo mengine

[hariri | hariri chanzo]
  • Archbishop Danilo II; Đura Daničić (1866). Životi kraljeva i arhiepiskopa srpskih (kwa Kiserbia). US. Galca.
  • "Архиепископ Данило II и његово доба". Међународни научни скуп поводом 650 година од смрти (kwa Kiserbia). Belgrade: САНУ. Desemba 1987.{{cite journal}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.