Hilari wa Mende

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hilari wa Mende (pia: Chély, Éli, Yles, Ilère au Hilaire; alifariki Javols, 540 hivi) alikuwa askofu wa mji huo, Galia, leo Ufaransa) baada ya kuishi upwekeni.

Alipinga kwa mafanikio Upagani sehemu mbalimbali za nchi[1].

Tangu zamani anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe 25 Oktoba[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.