Adelino wa Celles
Mandhari
Adelino wa Celles (pia: Hadelinus; alifariki 690 hivi[1]) kwanza alifanya kazi ikulu[2] , halafu akawa mmonaki, padri, mmisionari, mwanzilishi wa monasteri na hatimaye mkaapweke[3][4].
Alifanya kazi ya kueneza Injili hasa Ubelgiji, akishirikiana na mwalimu wake, askofu Remakli[5] .
Tangu kale ameheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu[6].
Sikukuu yake ni tarehe 3 Februari[7].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Mabradha wa Shule za Kikristo
- Orodha ya Watakatifu Waaugustino
- Orodha ya Watakatifu Wabazili
- Orodha ya Watakatifu Wabenedikto
- Orodha ya Watakatifu Wadominiko
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
- Orodha ya Watakatifu Wajesuiti
- Orodha ya Watakatifu Wakarmeli
- Orodha ya Watakatifu Wakolumbani
- Orodha ya Watakatifu Wamersedari
- Orodha ya Watakatifu Waoratori
- Orodha ya Watakatifu Wapasionisti
- Orodha ya Watakatifu Wapremontree
- Orodha ya Watakatifu Waredentori
- Orodha ya Watakatifu Wasalesiani
- Orodha ya Watakatifu Waskolopi
- Orodha ya Watakatifu Wateatini
- Orodha ya Watakatifu Watrinitari
- Orodha ya Watakatifu Watumishi wa Maria
- Orodha ya Watakatifu Wavinsenti
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Goyau, Georges. "Namur." The Catholic Encyclopedia Vol. 10. New York: Robert Appleton Company, 1911. 3 December 2021
- ↑ "Celles", Bienvenue à Houyet
- ↑ Monks of Ramsgate. "Hadelin". Book of Saints 1921. CatholicSaints.Info. 1 September 2013
- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/39470
- ↑ "Hadelin", Latin Saints of the Orthodox Patriarchate of Rome
- ↑ Baring-Gould, Sabine. "Hadelin", The Lives of the Saints, Volume II, London, John C. Nimmo, 1897
- ↑ Martyrologium Romanum
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |