Petro Tomaso

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
'Mt. Petro Tomaso.

Petro Tomaso, O.Carm. (Perigord, 1305Famagusta, Kupro, 1366) alikuwa Mkarmeli wa Ufaransa, maarufu kwa mahubiri yake, aliyehudumia kama askofu na balozi wa Papa huko Mashariki hadi kifo chake[1][2].

Papa Paulo V alimtangaza mwenye heri mwaka 1609 na Papa Urban VIII alimtangaza mtakatifu mwaka 1628.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 6 Januari[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.