Nenda kwa yaliyomo

Yohane wa Brito

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kifodini cha Mt. Yohane wa Brito.

Yohane wa Brito, S.J. (pia: Arul Anandar; Lisboa, Ureno, 1 Machi 1647  Orur, Tamil Nadu, India, 4 Februari 1693) alikuwa padri Mjesuiti mmisionari nchini India hadi kifodini chake[1] .

Alivuta wengi katika Ukristo kwa kuishi namna ya kitawa ya wamonaki Wahindu [2].

Papa Pius IX alimtangaza mwenye heri tarehe 21 Agosti 1853, halafu Papa Pius XII alimtangaza mtakatifu tarehe 22 Juni 1947.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[3].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. Woods, Henry (1910). "Blessed John de Britto". Catholic Encyclopedia. Juz. la 8. New York City: Robert Appleton Company. Iliwekwa mnamo 2016-08-09.
  2. https://www.santiebeati.it/dettaglio/39625
  3. Martyrologium Romanum

Marejeo ya Kiswahili

[hariri | hariri chanzo]
  • Pd. Leandry Kimario, O.F.M.Cap. - Mfahamu Mtakatifu Somo Wako - Maisha ya Watakatifu wa Kila Siku pamoja na Watakatifu Wafransisko - Toleo la pili - Dar es Salaam 2021, uk. 36-37

Marejeo ya lugha nyingine

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.