Nenda kwa yaliyomo

Paula Elizabeti Cerioli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Paula Elizabeti Cerioli (Soncino, Italia, 28 Januari 1816 - Comonte di Seriate, 24 Desemba 1865) alikuwa mwanamke mjane aliyeanzisha mashirika ya Familia Takatifu huko Bergamo[1].

Papa Pius XII alimtangaza mwenye heri tarehe 19 Machi 1950, halafu Papa Yohane Paulo II alimtangaza mtakatifu tarehe 16 Mei 2004[2].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[3].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.