Nenda kwa yaliyomo

Maria Eufrasia Pelletier

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Maria Eufrasia.

Maria Eufrasia Pelletier (Noirmoutier-en-l'Île, Ufaransa, 31 Julai 1796Angers, 24 Aprili 1868) ni sista maarufu kwa kuanzisha shirika la kitawa la Bibi Yetu wa Upendo wa Mchungaji Mwema ili kupokea kwa huruma wanawake kahaba[1][2].

Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki: Papa Pius XI alimtangaza mwenye heri tarehe 30 Aprili 1933, halafu Papa Pius XII alimtangaza mtakatifu tarehe 2 Mei 1940[3].

Sikukuu yake imehamishiwa tarehe 24 Aprili[4].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. ""Saint Mary Euphrasia Pelletier", Catholic Pamphlets, 1958" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2014-07-12. Iliwekwa mnamo 2021-04-22.
  2. https://www.santiebeati.it/dettaglio/50675
  3. ""St. Mary Euphrasia Pelletier", Good Shepherd Sisters, Philippine Province". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-04-22. Iliwekwa mnamo 2021-04-22.
  4. Martyrologium Romanum

Marejeo ya Kiswahili

[hariri | hariri chanzo]
  • John Kabeya na wengine - Maisha ya Watakatifu – ed. T.M.P. Book Department – Tabora 1965, 1989, uk. 144-145

Marejeo ya lugha nyingine

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.