Nenda kwa yaliyomo

Enodi wa Pavia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Enodi wa Pavia (Arles, Ufaransa, 473/474 - Pavia, Italia, 521) alikuwa askofu wa mji huo kuanzia mwaka 513 hivi.

Mwandishi mzuri wa Kilatini, vimetufikia baadhi ya vitabu vyake. Katika tenzi zake alisifu watakatifu na makanisa yao. Pia alikuwa mkarimu katika kugawa mali[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 17 Julai[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

 • (Kijerumani) Bianca-Jeanette Schröder, Bildung und Briefe im 6. Jahrhundert. Studien zum Mailänder Diakon Magnus Felix Ennodius, Berlin-New York 2007.
 • (Kihispania) Magno Félix Ennodio, Obra miscelánea. Declamaciones. Introducción, traducción y notas de Agustín López Kindler, Madrid 2007.
 • (Kifaransa) Ennode de Pavie, Lettres, tome I: livres I et II, texte établi, traduit et commenté par Stéphane Gioanni, Paris 2006 (CUF); Lettres, tome 2: livres III et IV, texte établi, traduit et commenté par Stéphane Gioanni, Paris, Les Belles Lettres, 2010 (CUF).
 • (Kiitalia) Fabio Gasti (a cura di), Atti della terza Giornata Ennodiana (Pavia, 10-11 novembre 2004), Pisa 2006.
 • (Kiitalia) Mario De Lucia, Claudiano, le aquile e la prova del sole in Ennodio, carm. 2, 150 = 451 Vogel, in Invigilata Lucernis 28, 2006, 43-59.
 • (Kiitalia) Daniele Di Rienzo, Gli epigrammi di Magno Felice Ennodio, Napoli 2005.
 • (Kiitalia) Gianluca Vandone, Appunti su una poetica tardoantica. Ennodio carm. 1, 7-8 = 26-27 V, Pavia 2004.
 • (Kiitalia) Edoardo D'Angelo (a cura di), Atti della seconda Giornata Ennodiana, Napoli 2003.
 • (Kiitalia) Simona Rota (a cura di), Magno Felice Ennodio. Panegirico del clementissimo re Teoderico (opusc. 1), Roma 2002.
 • (Kiitalia) Fabio Gasti (a cura di), Atti della prima Giornata Ennodiana (Pavia, 30-31 marzo 2000), Pisa 2002.
 • (Kiitalia) Maria Cesa, Ennodio. Vita del beatissimo Epifanio vescovo della chiesa pavese, Como 1988.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.