Ranieri wa Forcona

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ranieri wa Forcona (alifariki 30 Desemba 1077[1]) anakumbukwa kama askofu wa Forcona (Italia) aliyepongezwa na Papa Aleksanda II kwa utendaji wake[2].

Anaheshimiwa kama mtakatifu[3].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 30 Desemba.[4]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Dictionnaire d'Histoire et de Géographie Ecclésiastiques, vol. III (1924), col. 1106.
  2. Patrologia Latina, vol. CXLVI (1853), coll. 1369-1370.
  3. Giovanni Lucchesi, BSS, vol. XI (1968), col. 44.
  4. Martyrologium Romanum

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Il martirologio romano. Riformato a norma dei decreti del Concilio ecumenico Vaticano II e promulgato da papa Giovanni Paolo II, LEV, Città del Vaticano 2004.
  • Filippo Caraffa e Giuseppe Morelli (curr.), Bibliotheca Sanctorum (BSS), 12 voll., Istituto Giovanni XXIII nella Pontificia Università Lateranense, Roma 1961-1969.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.