Gabrieli Taurin Dufresse

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Gabrieli akisali.

Gabrieli Taurin Dufresse, M.E.P. (Ville-de-Lezoux, Ufaransa, 8 Desemba 1750 - Chengdu, Sichuan, 14 Septemba 1815) alikuwa askofu mmisionari wa Kanisa Katoliki nchini China aliyefia Ukristo kwa kukatwa kichwa.

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mtakatifu pamoja na wengine 119 tarehe 1 Oktoba 2000.

Sikukuu yao ya pamoja huadhimishwa tarehe 9 Julai, lakini ya kwake tarehe ya kifodini chake[1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.