Nenda kwa yaliyomo

Antonio Maria Pucci

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Antonio Maria.

Antonio Maria Pucci, O.S.M. (Poggiole di Vernio, Toscana, 16 Aprili 1810Viareggio, Italia, 12 Januari 1892), alikuwa padri mtawa wa Kanisa Katoliki aliyefanya uchungaji kama paroko sehemu ileile kwa miaka 48, akiwajibika sana katika malezi, katekesi na huduma kwa wahitaji.

Papa Pius XII alimtangaza mwenye heri tarehe 12 Juni 1952, halafu Papa Yohane XXIII alimtangaza mtakatifu tarehe 9 Desemba 1962.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[1].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  • Calabuig I. M. (editor), Sant'Antonio Maria Pucci, Facoltà Teologica Marianum, 2004
  • Antonio Maria Pucci, Epistolario di s. Antonio M. Pucci osm (1847-1891), Vol. 1: 1847-1883, Facoltà Teologica Marianum, 2001
  • Antonio Maria Pucci, Epistolario di s. Antonio M. Pucci osm, Vol. 2: 1883-1891, Facoltà Teologica Marianum, 2006
  • Peretto E. (editor), Storia e profezia nella memoria di un frate santo. Atti del Convegno di studio nel primo centenario della morte di s. Antonio Pucci (Roma, 14-16 ottobre 1992), Facoltà Teologica Marianum, 1994

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.