Tatiana Li
Mandhari
Tatiana Li (1856-1900) alikuwa Mkristo wa China, mke wa Mitrofani Chi Sung, padri wa kwanza wa Kanisa la Kiorthodoksi la China kufia dini ya Ukristo ambaye ndiye maarufu zaidi kati ya wafiadini wa China 222 wa Kanisa hilo waliotangazwa watakatifu mwaka 2000[1], wakiwemo huyo mama na watoto wao Isaya na Yohane.
Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 11 Juni.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko