Servatius Mtakatifu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Masalia ya Mt. Servatius yanatunzwa katika sanamu hii ya karne ya 15/16.

Servatius wa Tongeren[1] (kwa Kiarmenia: Սուրբ Սերվատիոս; kwa Kiholanzi: Sint Servaas; kwa Kifaransa: Saint Servais; alizaliwa nchini Armenia, akafariki Maastricht, 384) alikuwa askofu wa kwanza wa Atuatuca Tungrorum, leo Tongeren.

Katika mitaguso mbalimbali alitetea imani sahihi dhidi ya uzushi wa Ario.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi[2] kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 13 Mei.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • P.C. Boeren, Jocundus, biographe de saint Servais. Nijhoff, The Hague, 1972
  • L. Jongen Heinrich (ed.), and Kim Vivian, Richard H. Lawson and Ludo Jongen (transl.)The Life of Saint Servatius: A Dual-language Edition of the Middle Dutch 'legend of Saint Servatius' by Heinrich Von Veldeke and the Anonymous Upper German 'life of Saint Servatius'. Mellen Press, 2005, ISBN 0-7734-6063-2Script error: No such module "check isxn".

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Servatius Mtakatifu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.