Nenda kwa yaliyomo

Ursula Mtakatifu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Ursula.
Mchoro wa Hans Memling, Kifodini cha Mt. Ursula.

Ursula Mtakatifu (alifariki Koln, Ujerumani, 383) alikuwa mwanamke wa Ukristo wa Kiselti anayeheshimiwa na Wakatoliki na Waanglikana kama mtakatifu bikira mfiadini, ingawa habari zake[1] hazina hakika sana, kiasi kwamba kifo chake kinatajwa kutokea miaka tofauti: 238, 283, 383, 451 na hata 640[2].

Sikukuu yake na ya wenzake (10, ingawa pengine wanatajwa kuwa 11,000!) huadhimishwa tarehe 21 Oktoba[3].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. Poncelet, Albert. "St. Ursula and the Eleven Thousand Virgins". The Catholic Encyclopedia. Vol. 15. New York: Robert Appleton Company, 1912. Accessed 28 June 2013.
  2. Because of the lack of definite information about her and the anonymous group of holy virgins who accompanied her and on some uncertain date were killed at Cologne, they were removed from the General Roman Calendar when it was revised in 1969. See: Calendarium Romanum (Libreria Editrice Vaticana, 1969), p. 143
  3. "Roman Martyrology (Martyrologium Romanum): The Complete Martyrology in English for Daily Reflection". The Boston Catholic Journal. 2016. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-06-25. Iliwekwa mnamo Novemba 23, 2016. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.