Vivensioli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Vivensioli (pia: Vivientol, Juventiole; Lyon, leo nchini Ufaransa, 460 - Lyon, 12 Julai 524) alikuwa askofu mkuu wa mji huo kuanzia mwaka 514 hivi hadi kifo chake[1].

Mtoto wa familia maarufu, alijiunga kwanza na monasteri akawa abati huko Condat.

Akiwa askofu, alihimiza wakleri na walei kushiriki mtaguso wa Epaone ili wajue vizuri zaidi maagizo ya Mapapa[2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe 12 Julai[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Avitus of Vienne, (Danuta Shanzer, Ian N. Wood, trans.), Liverpool University Press, 2002, ISBN 9780853235880, p. 266
  2. http://www.santiebeati.it/dettaglio/61960
  3. Martyrologium Romanum

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Gregori wa Tours, Historia Francorum (The History of the Franks) (London, England: Penguin Books, Ltd., 1974).
  • Sidonius Apollinaris, The Letters of Sidonius (Oxford: Clarendon, 1915) (orig.), pp. clx-clxxxiii; List of Correspondents, Notes, V.ix.1.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.