Grellan Mtakatifu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Grellan katika kioo cha rangi, Ballinasloe, County Galway, Ireland.

Mt. Grellan alikuwa Mkristo hodari wa karne ya 5 na karne ya 6 aliyejenga makanisa mbalimbali nchini Ireland.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 10 Novemba[1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. See Stokes, p. 215, which refers to Grellán from Craeb Grelláin in Connaught in the east of Mag Luirg.

Vyanzo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.