Asklepiadi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Asklepiadi (alifariki Antiokia, leo nchini Uturuki, 218 hivi) alikuwa askofu wa 9 wa Antiokia baada ya Serapioni, kuanzia mwaka 211 hivi hadi kifo chake [1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 18 Oktoba[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.