Dominiko Savio

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mt. Dominic Savio.

Dominiko Savio (Kiitalia: Domenico Savio; Riva presso Chieri, 2 Aprili 1842Castelnuovo Don Bosco, 9 Machi 1857[1][2]) alikuwa mvulana wa Italia aliyelelewa na John Bosco.

Akiwa anasomea upadri aliugua na hatimaye akafariki dunia katika umri wa miaka 14 tu.[3]

Mlezi wake aliandika kitabu juu yake (Maisha ya Dominiko Savio) ambacho kilichangia sana kumfanya ajulikane na hatimaye atangazwe na Papa Pius XII kwanza mwenye heri tarehe 5 Machi 1950, halafu mtakatifu[4] tarehe 12 Juni 1954.[5]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Salesianvocation.com: Biography of St.Dominic Savio; Retrieved on 24 Novemba 2006.
  2. Santiebeati.it: San Domenico Savio Adolescente; Retrieved on 24 Novemba 2006.
  3. Bosconet.aust.com: Memoirs of the Oratory of Saint Francis de Sales by St. John Bosco (footnote 19, Chapter 6); Retrieved on 24 Novemba 2006.
  4. Stthomasirondequoit.com: Saints Alive: St. Dominic Savio; Retrieved on 24 Novemba 2006
  5. Catholic-forum.org: Dominic Savio; Retrieved on 24 Novemba 2006.C/ref>Vref>Donbosco-torino.it: Main Altars in the Church; Retrieved on 24 Novemba 2006

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • P. LAPPIN, Dominiko Savio (Mtakatifu aliye Kijana) – tafsiri ya G. Kibodya – ed. Benedictine Publications Ndanda Peramiho – Peramiho 1994 – ISBN 9976-67-085-0

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons


Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dominiko Savio kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.