Adolfo wa Arras
Mandhari
Adolfo wa Arras (pia: Hadulfus; Arras, Pas-de-Calais, karne ya 7 – 19 Mei 728) alikuwa askofu wa 9 au 10[1] wa mji huo (leo nchini Ufaransa) kuanzia mwaka 717 baada ya kuwa abati wa monasteri katika mji huohuo. [2].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 19 Mei[3].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Duchesne, Fastes épiscopaux, III, p. 108, riga 11; p. 109, riga 10.
- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/53980
- ↑ Martyrologium Romanum
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- (Kilatini) De Sancto Hadulfo, episcopo Cameracensi atque Atrebatensi et abbate Vedastino In Belgio, in Acta Sanctorum Maii, vol. IV, Parigi-Roma 1866, pp. 331-332
- (Kifaransa) Louis Duchesne, Fastes épiscopaux de l'ancienne Gaule, vol. III, Paris 1915, pp. 106-111
- (Kilatini) André Joseph Ghislain Le Glay, Cameracum christianum ou Histoire ecclésiastique du Diocèse de Cambrai, Lille 1849, p. 11
- (Kiitalia) Alfonso M. Zimmermann, Adolfo, vescovo di Cambrai, santo, in «Bibliotheca Sanctorum», vol. I, col. 256
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |