Justino Maria Russolillo
Mandhari
Justino Maria Russolillo (Napoli, Italia, 18 Januari 1891 – Napoli, 2 Agosti 1955) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki aliyeanzisha mashirika mawili ya kitawa kwa ajili ya miito mitakatifu, moja la kiume na lingine la kike[1][2] [3].
Papa Benedikto XVI alimtangaza mwenye heri tarehe 7 Mei 2011[5] halafu Papa Fransisko alimtangaza mtakatifu tarehe 15 Mei 2022.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[6].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Louis Caputo, A Servant of the Divine Vocations: Fr. Justin Russolillo (New Jersey: Vocationist Fathers) 1988
- ↑ Caputo and Marisa Patarino, A Life for Vocations (San Mauro: Stige) 2004 ISBN 2-7468-0983-4
- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/91501
- ↑ https://web.archive.org/web/20200920062949/https://www.vocationist.net/vocationist-library/
- ↑ "SDV: Beatification of Don Giustino Russolillo: Preparations in progress". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 24 Mei 2011. Iliwekwa mnamo 2011-05-18.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Martyrologium Romanum
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Hagiography Circle
- Blessed Justin Biography on the Official Vocationist Website - Multiple languages
- Vocationist Fathers
- Tovuti rasmi ya mashirika yake
- Maisha yake kwa ufupi
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |