Ustazhad na wenzake

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ustazhad na wenzake (walifariki nchini Uajemi, karne ya 4) walikuwa Wakristo elfu kadhaa, waliouawa kwa sababu ya imani yao katika dhuluma ya mfalme Sabor II [1][2].

Ustazhad alikuwa towashi wa ikulu aliyemlea mfalme mwenyewe. Kwanza alikuwa ameasi, lakini askofu mkuu Simeoni bar Sabas alimrudisha katika Ukristo hata akaufia.

Tangu kale wanaheshimiwa na Waorthodoksi, Waorthodoksi wa Mashariki na Wakatoliki kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 17 Aprili[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/92746
  2. A near-contemporary 5th century Christian work, the Ecclesiastical History of Sozomen, contains considerable detail on the Persian Christians martyred under Shapur II. Sozomen estimates the total number of Christians killed as follows: The number of men and women whose names have been ascertained, and who were martyred at this period, has been computed to be upwards of sixteen thousand, while the multitude of martyrs whose names are unknown was so great that the Persians, the Syrians, and the inhabitants of Edessa, have failed in all their efforts to compute the number. — Sozomen, in his Ecclesiastical History, Book II, Chapter XIV
  3. Martyrologium Romanum
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.