Tikhon wa Moscow
Mandhari

Tikhon wa Moscow (kwa Kirusi: Тихон Московский; jina la awali: Василий Иванович Беллавин, Vasily Ivanovich Bellavin; Klin, 31 Januari 1865 – Moscow, 7 Aprili 1925) alikuwa mmonaki, halafu askofu wa Kanisa la Kiorthodoksi la Urusi. Tarehe 5 Novemba 1917 alichaguliwa kuwa Patriarki wa 11 wa Moscow na Urusi wote, wa kwanza baada ya miaka 300 ya Kanisa hilo kuongozwa na Sinodi tu.
Mwaka 1989 alitangazwa na Kanisa lake kuwa mtakatifu, na anaheshimiwa hivyo na Waanglikana wa Marekani pia, alikowahi kufanya kazi ya umisionari.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Mabradha wa Shule za Kikristo
- Orodha ya Watakatifu Waaugustino
- Orodha ya Watakatifu Wabazili
- Orodha ya Watakatifu Wabenedikto
- Orodha ya Watakatifu Wadominiko
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
- Orodha ya Watakatifu Wajesuiti
- Orodha ya Watakatifu Wakarmeli
- Orodha ya Watakatifu Wakolumbani
- Orodha ya Watakatifu Wamersedari
- Orodha ya Watakatifu Waoratori
- Orodha ya Watakatifu Wapasionisti
- Orodha ya Watakatifu Wapremontree
- Orodha ya Watakatifu Waredentori
- Orodha ya Watakatifu Wasalesiani
- Orodha ya Watakatifu Waskolopi
- Orodha ya Watakatifu Wateatini
- Orodha ya Watakatifu Watrinitari
- Orodha ya Watakatifu Watumishi wa Maria
- Orodha ya Watakatifu Wavinsenti
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Biography of St. Tikhon Ilihifadhiwa 18 Novemba 2005 kwenye Wayback Machine. by the Orthodox Church in America
- St Tikhon the Patriarch of Moscow, and Enlightener of North America Orthodox icon and synaxarion.
- Glorification of St Tikhon, the Apostle to America
- Orthodox Icon of St. Tikhon with scenes from his life
- Patriarch Tikhon's Ordeal, Moscow's Cathedral of Christ the Savior, 244-266 Ilihifadhiwa 2 Mei 2014 kwenye Wayback Machine.
- Fall of Tikon article from Time Magazine, 12 May 1923. Broken link. There is no such article for May 1923.
- Saint Patriarch Tikhon - His Missionary Legacy to Orthodox America Ilihifadhiwa 3 Aprili 2015 kwenye Wayback Machine. article from the periodical Orthodox America.
- On the Triumph of Orthodoxy a homily by Tikhon.
- Hieromartyr Tikhon, Patriarch of Moscow and All Russia Detailed biography.
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |