Nenda kwa yaliyomo

Papia, Theodori na Klaudiani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Papia, Theodori na Klaudiani (walifariki Perge katika Pamfilia, leo nchini Uturuki, 250 hivi) walikuwa Wakristo ambao waliuawa kutokana na imani yao wakati wa dhuluma ya kaisari Decius wa Dola la Roma[1].

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao ni tarehe 4 Februari[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.