Nenda kwa yaliyomo

Edmundi Arrowsmith

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Edmundi.

Edmundi Arrowsmith, S.J. (Haydock, Lancashire, Uingereza, 1585Lancaster, 28 Agosti 1628) alikuwa padri Mjesuiti ambaye, kwa sababu alifanya uchungaji kwa siri miaka mingi na kuvuta wengi kwenye Kanisa Katoliki, aliuawa na serikali ya nchi yake chini ya Mfalme Charles I kwa kuchanwachanwa kikatili, ingawa Waanglikana wenyeji hawakutaka [1][2].

Papa Pius XI alimtangaza mwenye heri tarehe 15 Desemba 1929 halafu Papa Paulo VI tarehe 25 Oktoba 1970 alimtangaza kuwa mtakatifu mfiadini pamoja na wenzake 39[3].

Sikukuu yake ni tarehe ya kifodini chake[4].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. The main source of information on Arrowsmith is a contemporary account written by an eyewitness and published a short time after his death. This document, conforming to the ancient style of the "Acts of martyrs" includes the story of the execution of another 17th-century Recusant martyr, Richard Herst.
  2. http://www.santiebeati.it/dettaglio/67775
  3. Malcolm Pullan (30 April 2008). The Lives and Times of Forty Martyrs of England and Wales 1535 - 1680. Athena Press. pp. xvii–xxiai. ISBN 978-1-84748-258-7.
  4. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.