Basili wa Ankara

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Basili wa Ankara.

Basili wa Ankara (alifariki Ankara, Galatia, nchini Uturuki, 28/29 Juni, 362 hivi) alikuwa padri wa Dola la Roma aliyefia imani yake wakati wa kaisari Juliani Mwasi; alikuwa amesali sana ili kusiwe na Mkristo yeyote ambaye aje kuasi kutokana na dhuluma ya serikali [1].

Kabla ya hapo kwa muda mrefu alikuwa amepinga kwa nguvu zote Uario ulioungwa mkono na kaisari Constans I [2].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini[3].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 22 Machi.[4][5]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. St. Basil of Ancyra.
  2. http://www.santiebeati.it/dettaglio/92522
  3. Holy martyr Basil, Presbyter of the Church of Ancyra.
  4. Martyrologium Romanum (Libreria Editrice Vaticana, 2001, ISBN|88-209-7210-7)
  5. ВАСИЛИЙ. (Kirusi)
Christian cross.svg Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.