Julie Billiart

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mt. Julie Billiart alivyochorwa mwaka 1830.

Julie Billiart (Cuvilly, Ufaransa, 12 Julai 1751Namur, Ubelgiji, 8 Aprili 1816) alikuwa bikira aliyeanzisha shirika la masista wa Bibi Yetu wa Namur mwaka 1803. Alikuwa maarufu kwa upendo wake wa pekee[1].

Alitangazwa mwenye heri na Papa Pius X tarehe 13 Mei 1906 halafu mtakatifu na Papa Paulo VI tarehe 22 Juni 1969.

Siku hizi masista wake ni 2,000 hivi, nao wanaishi katika nchi 20 za mabara matano, zikiwemo Kenya na Tanzania.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Julie Billiart kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.