Fiorenso wa Thesalonike

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Fiorenso wa Thesalonike (alifariki Thesalonike, Ugiriki, 300 hivi) alikuwa Mkristo ambaye aliteswa akauawa kwa kuchomwa moto kutokana na imani yake wakati wa dhuluma ya dola la Roma[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake ni tarehe 13 Oktoba[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.