Nikoni wa Sparta

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mozaiki yake huko Hosios Loukas.

Nikoni wa Sparta (930 hivi - Sparta, Ugiriki, 998) alikuwa mmonaki aliyeishi miaka mingi bila makao maalumu, akikariri daima "Tubuni!" katika hotuba zake.

Hatimaye alianzisha monasteri huko Sparta, alipofariki dunia[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe 26 Novemba[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.