Silivi wa Toulouse
Mandhari
Silivi wa Toulouse (pia: Silvius, Sylvius, Sylve, Selve; karne ya 4 - 400 hivi) alikuwa kwa miaka 40 askofu wa 4 wa mji huo[1]
Alikuwa wa kwanza kuheshimu kaburi la Saturnini wa Toulouse kwa kujenga basilika juu yake[2][3].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 31 Mei[4].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ http://gw.geneanet.org/samlap
- ↑ Knights of Columbus. Catholic Truth Committee. The Catholic encyclopedia: an international work of reference on the constitution, doctrine, discipline, and history of the Catholic Church, Volume 14. Encyclopedia Press, 1913, 797.
- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/55400
- ↑ Martyrologium Romanum
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |