Severini wa Bordeaux
Mandhari
Severini wa Bordeaux (alifariki Bordeaux, Ufaransa, 420) alikuwa askofu wa 14 wa mji huo kuanzia mwaka 410 hadi kifo chake [1][2].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 21 Oktoba[3].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ David Hugh Farmer (a cura di), The Oxford Dictionary of Saints, Oxford University Press, Oxford, 2011. Alitokea Mashariki akapokewa vema na askofu Amandi aliyemtaka kuwa mwandamizi wake
- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/74580
- ↑ Martyrologium Romanum
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |