Nenda kwa yaliyomo

Deodato wa Blois

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Deodato wa Blois (Bourges, Ufaransa, karne ya 5Blois, Ufaransa, karne ya 6) alikuwa shemasi aliyeishi kama mkaapweke ila hatimaye alianzisha monasteri kwa waliotamani kumfuata[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 24 Aprili.[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.