Filarete wa Seminara
Mandhari
Filarete wa Seminara (Palermo, Sicilia, 1020 hivi - Palmi, Calabria, 1070) alikuwa mmonaki wa Ukristo wa Mashariki katika sehemu mbalimbali za Italia Kusini. Alikuwa na bidii kubwa kwa sala[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 6 Aprili[2].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- [1], Filarète di Calabria, santo, Enciclopedia Treccani (Kiitalia).
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |