Theodori wa Sion

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu ya Mt. Theodori (Marigny, Ufaransa).

Theodori wa Sion (pia: Joder, Théodule, Theodolus; alifariki Sion, leo nchini Uswisi, 400 hivi) alikuwa askofu wa kwanza wa mji huo [1].

Pamoja na kuinjilisha eneo la Valais, alipinga uzushi wa Ario na wa wengine kwa kufuata mfano wa Ambrosi wa Milano [2].

Pia aliheshimu kwa kila namna masalia ya wafiadini wa Agauno.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 16 Agosti[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/92291
  2. "Theodor (Teodul) von Sitten" in: Johann Evangelist Stadler (ed.), Stadlers Vollständiges Heiligen-Lexikon (1858–1882).
  3. Martyrologium Romanum

Vyanzo[hariri | hariri chanzo]

  • Kirsten Groß-Albenhausen: "Theodor (…), Bischof von Octodurus" In: Biographisch-Bibliographisches Kirchenlexikon 11 (1996), 881–884.
  • E. F. Gelpke, Kirchengeschichte der Schweiz (1856–61) I.95ff, 120ff; II.97ff.
  • E. F. Gelpke, "Theodulus" in: Johann Jakob Herzog (ed.) Real-encyklopädie für Protestantische Theologie und Kirche vol. 15 (1862), 738–743.
  • H. Foerster, "Zur Vita sancti Theodori Sedunensis episcopi", Zeitschrift für schweizerische Kirchengeschichte 33 (1939), 233–240 (doi 10.5169/seals-125391).
  • Acta Sanctorum, Augusti Tomus III [vol. 37] (1737) 275–280 (reprinted 1867).

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.