Rafaela Maria wa Moyo Mtakatifu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mt. Rafaela Maria

Rafaela Maria wa Moyo Mtakatifu (jina la kuzaliwa: Rafaela Porras Ayllón; Pedro Abad, Córdoba, 1 Machi 1850 - Roma, Italia, 6 Januari 1925) alikuwa mtawa wa Hispania aliyeanzisha pamoja na dada yake shirika la Wajakazi wa Moyo Mtakatifu wa Yesu.

Aliliongoza kama mkuu wa kwanza hadi alipong'atuka mwaka 1893.

Alitangazwa mwenye heri na Papa Pius XII tarehe 18 Mei 1952 halafu mtakatifu na Papa Paulo VI tarehe 23 Januari 1977.[1]

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe aliyofariki dunia[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Saint Raphaela Mary. Handmaids of the Sacred Heart of Jesus. Iliwekwa mnamo 16 March 2016.
  2. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.