Berengari wa Saint-Papoul

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Berengari wa Saint-Papoul (kwa Kifaransa: Bérenger ; karne ya 11 - 1093) alikuwa mmonaki wa Kibenedikto nchini Ufaransa (wilaya ya Aude) [1][2]

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 26 Mei[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • « La vie de saint Bérenger, confesseur », dans Jacqueline Bouette de Blémur, L'année bénédictine ou les Vies des saints de l'ordre de Saint Benoist qui se rencontrent au mois de May, 1667, p. 334-338 [1]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.