Sekundo wa Asti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Sekundo alivyochorwa[1].

Sekundo wa Asti (alifariki Asti, Piemonte, Italia Kaskazini, 29 Machi 119) anakumbukwa kama Mkristo aliyefia imani yake kwa kukatwa kichwa katika dhuluma ya kaisari Hadrian[2].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 30 Machi[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "Torino Medievale - Percorso - Porta Doranea". www.archeogat.it. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-07-22. Iliwekwa mnamo 2018-03-17.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  2. [1]
  3. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.