Hidulfi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Orodha ya maaskofu wa Trier.

Hidulfi (pia: Hidulf, Hildulf, Hidulfus, Hidulphus, Hiduiphus, Hidulphe, Hydulphe; alifariki 707) alikuwa mmonaki halafu askofu wa 29 wa Trier, leo nchini Ujerumani, kwa miaka mitano. Baadaye aling'atuka na kwenda kuishi upwekeni kwenye milima ya Vosges, leo nchini Ufaransa, ila alifuatwa na wengi akawaanzishia monasteri ya Moyenmoutier akaiongoza hadi kifo chake [1][2].

Tangu zamani anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe 11 Julai[3][4].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/61740
  2. Odden, Per Einar. "Den hellige Hidulf av Moyenmoutier (~612-707)", Den katolske kirke, November 28, 2015
  3. Martyrologium Romanum
  4. Muessig, Dr Carolyn; Jones, Dr Graham (9 April 2004). "Saints at a Glance". University of Leicester. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 7 December 2007. Iliwekwa mnamo 2023-11-05.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); Check date values in: |date=, |archivedate= (help)

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Olaf Schneider: Erzbischof Hinkmar und die Folgen: Der vierhundertjährige Weg historischer Erinnerungsbilder von Reims nach Trier. Berlin, New York, 2010
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.